FUNDI MCHUNDO (FITTER AND TURNER) (NAFASI 3)
Kwa niaba ya wateja wetu tunahitaji mafundi mchundo- Fitter and Turner kwa ajili ya karakana ya mteja wetu iliyopo Mkuranga Pwani.home, home from work, looking for work from home, get paid, i want to work from home
Sekta: Karakana ya utengenezaji magari makubwa na madogo
Mahali Ilipo: Mkuranga
Mshahara: 400000-600000 Gross Salary
Majukumu ya Fundi Mchundo (Fitter & Turner)
v Kuchonga vipuri mbalimbali;
v Kusoma na kutafri michoro mbalimbali inayotumika katika karakana;
v Kuhakikisha hali ya usafi na usalama mahala pa kazi;
v Kuendesha mashine mbalimbali za uchongaji katika karakana kama vile Lathe,
Milling, Grilling, Drilling nk;
v Kufanya kazi za fitting;
v Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika;
v Kufanya kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na Kiongozi wake.
Sifa a Mwombaji
v Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa ‘Fitter and Turner’ kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
Namna ya Kutuma Maombi:
Kama unaamini una uwezo na vigezo tulivyohainisha hapo juu tafadhali tuma maombi kupitia email hii kabla ya tarehe 30/11/2022 application@expertconsultancy.co.tz
Tafadhali Fahamu ni wale wenye vigezo tuu ndio tutakaowasiliana nao.