Sekta: Karakana ya utengenezaji magari
Mahali Ilipo: Mkuranga
Mshahara: 500000-900000 Gross Salary
Majukumu atakayofanya:
v Kufanya matengenezo kinga (Preventive maintenance) ya ‘Clutch’, ‘Gear boxes’ mifumo ya breki nk;
v Kuchunguza na kutambua matatizo ya magari na mitambo na kufanya matengenezo;
v Kufanya majaribio ya ubora wa magari na mitambo baada ya matengenezo;
v Kuhakikisha utunzaji wa zana zinazotumika katika karakana za magari na mitambo;
v Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya karakana;
v Kufanya kazi nyingine kama utakavyolekezwa na kiongozi wako.
Vigezo Vinavyohitajika na Udhoefu:
v Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa Ufundi Magari- ‘Motor Vehicle Mechanics’ kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
Namna ya Kutuma Maombi:
Kama unaamini una uwezo na vigezo tulivyohainisha hapo juu tafadhali tuma maombi kupitia email hii kabla ya tarehe 30/11/2022 application@expertconsultancy.co.tz
Tafadhali Fahamu ni wale wenye vigezo ndio tutakaowasiliana nao.
Am living kinondoni dar es saalam