FUNDI MCHUNDO (FITTER AND TURNER) (NAFASI 3)

FUNDI MCHUNDO (FITTER AND TURNER) (NAFASI 3)

Kwa niaba ya wateja wetu tunahitaji mafundi mchundo- Fitter and Turner kwa ajili ya karakana ya mteja wetu iliyopo Mkuranga Pwani.home, home from work, looking for work from home, get paid, i want to work from home 
Sekta: Karakana ya utengenezaji magari makubwa na madogo

Mahali Ilipo: Mkuranga

Mshahara: 400000-600000 Gross Salary

 

 Majukumu ya Fundi Mchundo (Fitter & Turner) 

v  Kuchonga vipuri mbalimbali;

v  Kusoma na kutafri michoro mbalimbali inayotumika katika karakana;

v  Kuhakikisha hali ya usafi na usalama mahala pa kazi;

v  Kuendesha mashine mbalimbali za uchongaji katika karakana kama vile Lathe,

Milling, Grilling, Drilling nk;

v  Kufanya kazi za fitting;

v  Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika;

v  Kufanya kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na Kiongozi wake.

 

Sifa a Mwombaji

v  Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa ‘Fitter and Turner’ kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. 

 

Namna ya Kutuma Maombi:

Kama unaamini una uwezo na vigezo tulivyohainisha hapo juu tafadhali tuma maombi kupitia email hii kabla ya tarehe 30/11/2022 application@expertconsultancy.co.tz

 

Tafadhali Fahamu ni wale wenye vigezo tuu ndio tutakaowasiliana nao.

 

 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *